TWENZETU - "TAMADUNIKA" Mashindano Ya Ngoma Za Asili --> Jumamosi Hii Tarehe 25/5/2013 @ Leaders Club Saa 6 Mchana Na Kuendelea --Bureeeee--> #ZAIDI --> TWENZETUTAMADUNIKA – MASHINDANO YA NGOMA ZA ASILIwww.cloudsfm.co“Tamadunika” ni Tamasaha la wazi linalolenga kutambua mchango wa ngoma, sauti na mitindo ya kucheza muziki wa asili kutoka sehemu mbalimbali kuzunguka Tanzania…


